Habari za Punde

Mkutano wa wadau mbali mbali wanaoshughulikia masuala ya walemavu Pemba

 MKURUGENZI Mtendaji wa Kituo cha Masuala ya Ulemavu na Maendeleo Jumuishi Zanzibar (ZACEDID), Salma Haji Saadat akizungumza na wadau mbali mbali wanaoshuhulikia masuala ya walemavu Pemba, wakiwemo mashekhe, walimu wa madrasa za Qurani na Watendaji wa Taasisi za Serikali, huko katika Ukumbi wa Maktaba Chake Chake Pemba.(PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA)
 MKUU wa Wilaya ya Chake Chake Rashid Hadid Rashid, akifungua mkutano juu ya Muongozo wa ufikiaji wa Miundombinu kwa watu wenye ulemavu Zanzibar  na kukitambulisha kituo cha Masuala yaUlemavu na Maendeleo  Jumuishi, kwa viongozi wa taasisi za kidini, jumuiya za kiraia na walimu wa vyuo vya Qur-ani.(PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA)
BAADHI ya washiriki wa mkutano wa siku moja juu ya Muongozo wa ufikiaji wa Miundombinu kwa watu wenye ulemavu Zanzibar  na kukitambulisha kituo cha Masuala yaUlemavu na Maendeleo  Jumuishi, kwa viongozi wa taasisi za kidini, jumuiya za kiraia na walimu wa vyuo vya Qur-ani.(PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA)

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.