Habari za Punde

Wanafunzi wa Kidatu cha Nne Waendelea na Mitihani yao ya Taifa Ilioaza Wiki Hii Tanzania Nzima..

Wanafunzi wa Kidatu cha Nne Skuli ya Sekondari ya Kiembesamaki wakitoka Darasani baada ya kumaliza Mtihani wao wa Taifa wa soma la Civic kwa kipindi cha asubuhi na kuendelea na Mitihani yao mchana kwa somo la Jografia.Wanafunzi wa Kidatu cha nne Skuli ya Sekondari ya Haile Sseilas wakiwa nje ya madarasa ya mitihani baada ya kumaliza mtihao wao wa Taifa kipindi cha asubuhi na kujikumbusha masomo yao kabla ya kurudi darasani kuendelea na mtihani unaofuata.


No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.