Habari za Punde

Mkuu wa Mkoa wa Kusini Pemba Afungua Mafunzo ya Kuwajengea Uwezo Wanasheria Kisiwani Pemba.

Mkuu wa Mkoa wa Kusini Pemba Mhe.Hemed Suleiman Abdalla, akifunguwa mafunzo ya Muhtasari wa sera maalumu  ya msaada wa Kisheria  huko katika ukumbi wa Kiwanda cha Mafuta ya Makonyo Wawi Pemba,yaliowajumuisha wadau mbali mbali wa masuala ya sheria .
Daima A.Mkalimoto, Mkurugenzi Idara ya Mipango , Sera na Utafiti kutoka Wizara ya Katiba na Sheria, akiwasisitiza Viongozi wenzake juu ya kuulewa na kuufuata muhtasari huo kwa maslahi yao na Taifa kwa
ujumla.
Baadhi ya Washiriki wa mafunzo ya muhtasari wa sera maalumu ya msaada wa kisheria wakiwa katika picha ya pamoja huko katika ukumbi wa kiwanda cha mafuta ya Makonyo Wawi Pemba.
Picha na Maryam Talib - W/ K/SH/U/U.U/BORA -PEMBA.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.