Habari za Punde

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein, Akabidhiwa Jezi ya Timu ya Taifa ya Zanzibar Heroes.

Nahodha wa Timu ya Zanzibar Heroes, Suleiman Kassin Selembe akimkabidhi Jezi ya Timu ya Taifa ya Zanzibar Heroes Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk Ali Mohamed Shein, wakati wa hafla ya Chakula cha usiku alichowaandalia wachezaji wa Timu hiyo katika ukumbi wa zamani wa Baraza la Wawakilishi Kikwajuni Zanzibar. 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.