BADO suala la usafiri wa uhakika wa wananchi wa
Kisiwa cha Fundo na Kokota Wilaya ya Wete, imekuwa ni kitendawili pichani
wananchji wakiwa wamejazana katika moja ya vyombo vya usafiri wakitoka
bandarini Wete kwenda Kisiwa cha Fundo.(PICHA
NA ABDI SULEIMAN, PEMBA)
MAKAMU WA RAIS AKISHIRIKI IBADA YA JUMAPILI NCHINI IVORY COAST
-
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango
akizungumza na Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika
Mashariki M...
5 hours ago
No comments:
Post a Comment