Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya askari wa vikosi maalumu (makomandoo) wa Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) baada ya kufungua kituo cha mafunzo maalumu ya kijeshi huko Mapinga wilaya ya Bagamoyo mkoa wa Pwani Februari 6, 2018. Kushoto kwake ni Mkuu wa Majeshi Jenerali Venance Salvatory Mabeyo. Picha na IKULU
SAMIA SCHOLARSHIP YACHOCHEA UBUNIFU WA KISASA NELSON MANDELA, TAASISI
YAANZA KUONA MATUNDA
-
Makamu Mkuu wa Taasisi ya Afrika ya Sayansi na Teknolojia ya Nelson
Mandela, Prof. Maulilio Kipanyula, akisoma hotuba wakati wa Mahafali ya 11
yaliyofany...
3 hours ago
No comments:
Post a Comment