AFISA Mdhamini Ofisi ya Makamu wa PIli wa Rais
Pemba, Ali Salim Ali Mata, akuzungumza katika kikao cha wenyeviti wa kamati za
maafa Wilaya na kamati ya kitaalamu, juu ya kuandaaa mikakati madhubuti ya
kukabiliana na maafa mwaka huu.(PICHA NA
ABDI SULEIMAN, PEMBA).
WENYEVITI wa kamati za maafa za Wilaya na Wenyeviti
wa kamati za kitaalamu za maafa, wakiwemo wakuu wa Wilaya na wakurugenzi wa
mabaraza ya miji na Halmashauri, Kisiwani Pemba wakiwa katika kikao cha Pamoja
huko ukumbi wa Tume ya Ukimwi Pemba.(PICHA
NA ABDI SULEIMAN, PEMBA).
MKUU wa Mkoa wa Kaskazini Pemba, Omar Khamis Othman,
akifungua kikao cha Wenyeviti wa Kamati za maafa za Wilaya na Weyeviti wa
kamati za kitaalamu za maafa, kilichowashirikisha wakuu wa Mikoa, Wilaya na
wakurugenzi wa mabaraza ya miji.(PICHA
NA ABDI SULEIMAN, PEMBA).
No comments:
Post a Comment