Habari za Punde

Wizara ya Afya yamuaga Aliyekuwa Waziri wa Afya Mhe Mahmoud Thabit Kombo

 WAZIRI wa Habari Utalii na Mambo ya Kale Zanzibar, Mahmoud Thabiti Kombo akiwashukuru wafanyakazi wa Wizara ya Afya katika chakula cha mchana alichoandaliwa kwaajili ya kumuaga.
  WAZIRI wa Afya Zanzibar Hamad Rashid Muhamed akizungumza katika ghafla ya kumuaga aliekuwa Waziri wa Afya Mahmoud Thabiti Kombo katika ukumbi wa Wizara ya Afya Mnazimmoja Mjini Zanzibar.
 
 KATIBU MKUU Wizara ya Afya Zanzibar Asha Abdulla Ali akimkabidhi Zawadi aliekua Waziri wa Wizara hiyo Mahmoud Thabiti Kombo  katika hafla ya chakula iliofanyika ukumbi wa Wizara ya Afya Mnazimmoja Mjini Zanzibar.

 NAIBU WAZIRI wa Afya Zanzibar, Harusi Said Suleiman akitoa neno la shukrani kwa mashirikiano mazuri walioyapata chini ya uongozi wake. 

 WAZIRI wa Afya Zanzibar  Hamad Rashid Mohammed akiwaongoza Viongozi mbalimbali katika chakula cha kumuaga Waziri wa zamani wa Wizara hiyo. (Picha na Abdalla Omar  Maelezo - Zanzibar).​​​​​​​​​​​​​​​​​​​​​​​​​

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.