Habari za Punde

Mwakilishi wa Jimbo la Tunguu Zanzibar Mhe. Simai Mohammed Said Atembelea Skuli ya Sekondari Kibele na Kukabidhi Mpira wa Maji Safi na Salama.

Mwakilishi wa Jimbo la Tunguu Zanzibar Mhe. Simai Mohammed Said akiongozana na Mwalimu wa Skuli ya Sekondari ya Kibele Wilaya ya Kati Unguja Mwalimu Haji Mohammed Ahmed akitembelea skuli hiyo na kuangalia sehemu ya mpira wa kusambazia maji katika skuli hiyo kupasuka. 
Mwakilishi wa Jimbo la Tunguu Zanzibar Mhe. Simai Mohammed Said akizungumza na Mwalimu wa Skili ya Sekondari ya Kibele Wilaya ya Kati Unguja wakati wa ziara yake kutembelea  Skuli hiyo na kukabidhi mpira wa kusambaza maji safi na salama kwa ajili ya skuli hiyi na nyumba za jirani zimekuwa zikikosa huduma hiyo kutokana na kukatika kwa mpira wa kusambazia maji katika eneo hilo.
Mwakilishi wa Jimbo la Tunguu Zanzibar Wilaya ya Kati Unguja Mhe. Simai Mohammed Said akimkabidhi mpira wa kusambazia Rais wa Wanafunzi wa Skuli ya Sekondari ya Kibele Mwanafunzi Abdillah Khamis, hafla hiyo imefanyikika viwanja vya skuli hiyo huko kibele. 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.