Habari za Punde

Internews Yawanoa Waandishi wa Habari Zanzibar Mafunzo ya Usalama wa Mitandao

Mmkufunzi kutoka Taasisi ya Internews Samuel Musila akitowa mada kuhusiana na usalama wa utumiaji wa mitandao kwa waandishi wa habari wanapokuwa katika kazi zao, mafunzo hayo yamefanyika katika ukumbi wa Chuo cha Kiislam Mazizini Zanzibar
WAANDISHI wa Habari wa Vyombo mbalimbali wakihudhuria mafunzo ya Siku moja kuhusiana na Usalama wa Utumiaji wa Mitandao wakimsikiliza mkufunzi Samuel Musila kutoka Taasisi ya Internews uzno yaliofanyika katika ukumbi wa Chuo cha Kiislam Mazizini ZanzibarNo comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.