Habari za Punde

Mbio za Mwenge Katika Wilaya ya Wete Kisiwani Pemba Kuzindua Miradi ya Maendeleo na Uwekaji wa Mawe ya Msingi.


Mkuu wa Wilaya ya Wete Pemba,Mhe. Abeid Juma Ali, akizungumza na Mwandishi wahabari wa Vyombo mbalimbali Kisiwani Pemba kuhusiana na Mbio za Mwenge na Uzinduzi wa Miradi mbalimbali ya Maendeleo na uwekaji wa Mawe ya Msingi wakati wa mbio za Mwengi katika Wilaya ya Wete Pemba.
Picha na Ali Masoud -Pemba)

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.