Habari za Punde

Waziri wa Fedha na Mipango Zanzibar Mhe. Dkt. Khalid Salum Mohammed Azungumza na Waandishi wa Habari Muelekeo wa Bajeti ya SMZ Kwa Mwaka wa Fedha 2018/2019.

 Waziri wa Fedha na Mipango Zanzibar Mhe. Dkt. Khalid Salum Mohammed akizungumza na waandishi wa habari wa vyombo mbalimbali vilioko Zanzibar, akizungumzia Muelekeo wa Bajeti ya SMZ Kwa Mwaka wa Fedha wa Mapato na Matumizi kwa mwaka 2018/2019, mkutano huo umefanyika katika ukumbi wa Wizara ya Fedha na Mipango Vuga Zanzibar.
Waandishi wa habari wa vyombo mbalimbali vilioko Zanzibar, wakifuatilia taarifa ya Waziri wa Fedha na Mipango Zanzibar Mhe. Dkt. Khalid Salum Mohammed akitowa taarifa ya Muelekeo wa Bajeti ya Serikali ya Mapinduzi Zanzibar kwa mwaka wa fedha 2018/2019.
No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.