Habari za Punde

Harakati za Hapa na Pale Mitaa ya Mji Mkongwe wa Zanzibar Mitaa ya Mchangani Zenj.

Muonekano wa maeneo ya Mitaa ya Mchangani Unguja ukiwa katika hali ya harakati za hapa na pale kwa Wananchi wakiwa katika shughuli zao za Biashara na Wananchi kujipatia mahitaji yao ya vifaa mbalimbali katika maduka hayo maarufu kwa uuzaji wa nguo za aina mbalimbali Visiwani Zanzibar.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.