Maandalizi wa Ujenzi wa Ukarabati wa Jengo la Beit Al Jaib Forodhani Zanzibar ukiaza ujenzi huo kwa kuwasili Wataalam wa Ujenzi Watano kutoka Nchi mbalimbali na kuungana na Wataalamu wazawa wa Zanzibar kusimamia ujenzi huo wa Ukarabati unaofanywa na Serikali ya Oman kwa gharama ya Dolla za kimarekani zaidi ya milioni Tano ili kuweza kukamilisha ukarabati huo mkubwa unaotarajiwa kuchukua miezi 18 hadi kumaliza kwake ujenzi huo.
Maaskofu, Masheikh nyanda za juu wahimiza uchaguzi wa amani
-
Na Mwandishi Wetu, Mbeya
VIONGOZI wa dini kutoka mikoa ya Nyanda za Juu Kusini wamewataka Watanzania
kujitokeza kwa wingi kushiriki Uchaguzi Mkuu utakaofan...
24 minutes ago
No comments:
Post a Comment