Mwalimu Mkuu wa Skuli ya Sekondari ya Uweleni Mkoani Pemba, Maalimi Shehe Hassan Mohammed, akisoma risala ya ujenzi waskuli hiyo mbele ya Balozi Makamo wa pili wa Rais wa Zanzibar, Balozi Seif Ali Iddi,alipokuwa na ziara ya kutembelea Skuli hiyo.
Makamo wa pili wa Rais wa Zanzibar, Balozi Seif Ali Iddi, akizungumza na Walimu, Wazazi na Wanafunzi wa Skuli ya Sekondari ya Uweleni mara baada ya kufanya ziara ya kuangalia maendeleo ya Skuli hiyo.(Picha na Habiba Zarali - Pemba)
No comments:
Post a Comment