Habari za Punde

Yanga African Sports Club Yaibuka na Ushindi wa Bao 2-0 Dhidi ya Timu ya Malindi ya Zanzibar Mchezo Uliofanyika Katika Uwanja wa Amaan Uliokuwa Maalum wa Kumuaga Mchezaji wa Timu Hiyo Nahodha Mstaaf Haroub Caravano

Kikosi cha Timu ya Yanga Afrika kilichotoa kipigo kwa Timu ya Malindi Sports Club ya Zanzibar katika mchezo wa kirafiki uliofanyika uwanja wa amaan zanzibar.Yanga imeshinda bao 2-0.Ikiwamchezo wa kirafiki maalum wa kumuaga mchezaji wao Nahodha wa zamani wa Timu ya Yanga Haroub Caravano.baada ya kustaafu kucheza mpira na kwa sasa ni meneja wa Timu ya Young African Sports Club.
Kikosi cha Timu ya Malindi Sports Club ya Zanzibar iliokubali kipigo cha bao 2-0 katika mchezo wao wa Kirafiki maalumu ulioandaliwa kwa ajili ya kumuaga nahodha wa Timu ya Yanga ya Jijini Dar es Salaam uliofanyika katika Uwanja wa Amaan Zanzibar. 
No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.