Habari za Punde

Kamati ya Baraza la Wawakilishi ya Maendeleo ya Habari na Utalii Yatembelea Vikundi Vya Vijana Kisiwani Pemba.

Katibu wa Kikundi cha  Youth Group Farmers cha Furaha Wilaya ya Chake Chake Mohamed Said, akimuonyesha Mwenyekiti wa kamati ya Maendeleo ya Habari na Utalii ya Baraza la Wawakilishi Zanzibar Mwantatu Mbarka Khamis, wadudu wanavoathiri kilimo chao cha Tungule.(Picha na Abdi Suleiman -  Pemba)

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.