6/recent/ticker-posts

Jengo Jipya la Skuli ya Bwefum Wilaya ya Magharibi B Unguja Zanzibar.

Jengo la Skuli ya Sekondari na Msingi la Skuli ya Bwefum Zanzibar iliozinduliwa leo na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, ikiwa ni shamrashamra ya kuadhimisha Miaka 55 ya Mapinduzi Zanzibar . iliojengwa na Kampuni ya Union Property Developpers Ltd,  


Post a Comment

0 Comments