Habari za Punde

Mahafali ya 11 ya Skuli ya Sekondari ya Connencting Continents Pemba.

MKUU wa Wilaya ya Chake Chake Pemba Ndg. Rashdi Hadid Rashid, akiongozana na Walimu wa Skuli ya Sekondari ya Connecting Continents, wakiwa katika maandano na Walimu wakiongozana na Wahitimu ya Kidatu cha Nne katika Mahafali ya 11 ya Skuli hiyo yaliofanyika katika viwanja vya Skuli Mgogoni Wilaya ya Chakechake Pemba.
MKUU wa Wilaya ya Chake Chake Pemba Ndg. Rashdi Hadid Rashid, akizungumza na kutowa nasaha zake kwa Wanafunzi wa Skuli ya Sekondari ya Connecting Continents, katika hafla ya Mahafali ya 11 kwa Wanafunzi wa Kidatu cha Nne, yaliofanyika katika viwanja vya Skuli hiyo Mgogoni Wilaya ya Chakechake Pemba
MKUU wa Wilaya ya Chake Chake Rashid Hadid Rashid akimkabidhi cheti cha uhitimu kidato cha nne mmoja ya wahitimu wa skuli ya Connecting Continents, baada ya kuhitimu masomo yake wakati wa mahafali ya 11 ya skuli hiyo


BAADHI ya watimu wa Kidato cha nne katika skuli ya Connencting Continents School, iliyopo mgogoni Wilaya ya Chake Chake wakifuatilia wka makini hutuba ya mgeni Rasmi katika mahafali ya 11 ya skuli hiyo.
(Picha Abdi Suleiman - Pemba)

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.