Habari za Punde

Uzinduzi wa Barabara ya Kiyuni Hadi Ngomeni Wilaya ya Chakechake Kisiwani Pemba.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali.Mohamed Shein.Mama Mwanamwema Shein kulia na Waziri wa Ujenzi Miundombini na Usafirishaji Zanzibar Mhe,Dr.Sira Ubwa. wakiondoa kipazia kuashiria kuweka Jiwe la Msingi la Barabara ya Kiyuni hadi Ngomeni iliyojengwa kwa kiwango cha lami, uzinduzi huo umefanya wiki hii 25-2-2019, wakati wa ziara ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Kisiwani Pemba kutembelea Miradi ya Maendeleo katika Mikoa ya Kusini nas Kaskazini Pemba. 
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akiwasikiliza Watoto walioandaliwa katika hafla ya ukataji wa Utepe wa Uzinduzi wa Barabara ya Kiyuni hadi Ngomeni Wilaya ya Chakechake Kisiwani Pemba akiwa katika ziara ya kutembelea Miradi ya Maendeleo.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, kulia Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mwanamwema Shein,Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi Mawasiliano na Usafirishaji Ndg. Mustafa Aboud Jumbe na kushoto Waziri wa Ujenzi Mawasiliano na Usafirishaji Mhe.Dr, Sira Ubwa, wakishuhudiac ukataji wa Utepe wa kuashiria uzinduzi wa Barabara ya Kiyuni hadi Ngomeni Kisiwani Pemba iliyojengwa kwa kiwango cha lami. 

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, kulia Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa na Idara Maalum za SMZ,Mhe.Haji Omar Kheri na kushoto Mkuu wa Mkoa wa Kusini Pemba Mhe Hemed Suleiman , wakitembea katika barabara ya Kiyuni hadi Ngomeni baada ya kuizindua, barabara hiyi iliyojengwa kwa kiwango cha lami Kisiwani Pemba.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, kulia Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa na Idara Maalum za SMZ Mhe. Haji Omar Kheri, Waziri wa Nchi Ofi ya Rais na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi.Mhe. Issa Haji Gavu na kushoto Waziri wa Ujenzi Mawasiliano na Usafirishaji Mhe.Dr, Sira Ubwa, Mkuu wa Mkoa wa Kusini Pemba Mhe. Hemed Suleiman na Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Dr, Abdallah Juma Mabodi, wakitembelea barabara hiyo baada ya Uzinduzi wake.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.