Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu
anayeshughulikia Uwekezaji, Angellah Kairuki akijibu hoja za baadhi ya wabunge
wakati wa majadiliano ya Bajeti ya Ofisi ya Waziri Mkuu leo Bungeni leo jijini
Dodoma.
Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi,
William Lukuvi akijibu swali wakati wa kikao cha sita cha Bunge leo jijini
Dodoma.
Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na
Michezo, Mhe. Juliana Shonza akijibu swali wakati wa kikao cha sita cha Bunge
leo jijini Dodoma.
Naibu Waziri wa Madini akijibu swali wakati wa
kikao cha sita cha Bunge leo jijini Dodoma.
Naibu Waziri Ofisi ya Waziri
Mkuu, Kazi, Vijana na Ajira akijibu hoja za baadhi ya wabunge wakati wa
majadiliano ya Bajeti ya Ofisi ya Waziri Mkuu leo Bungeni leo jijini Dodoma.
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akiteta jambo na
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na
Wenyeulemavu, Jenista Mhagama (kushoto) wakati wa kipindi cha maswali na majibu
Bunge leo jijini Dodoma. Katikati ni
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa
–TAMISEMI, Selemani Jaffo.
(Picha na: Frank Shija – MAELEZO)
No comments:
Post a Comment