Habari za Punde

MWENYEKITI WA CCM TAIFA RAIS DKT. MAGUFULI AONGOZA KIKAO CHA KAMATI KUU YA HALMASHAURI KUU YA CCM (NEC) IKULU CHAMWINO JIJINI DODOMA

Wajumbe wa Kamati kuu ya Halmashauri Kuu ya  Chama Cha Mapinduzi (NEC) wakitoka kwenye kikao chao kilichofanyika Ikulu ya Chamwino jijini Dodoma chini ya Mwenyekiti wa CCM Taifa Rais Dkt. John Pombe Magufuli leo Jumatatu Aprili 15, 2019
Katibu Mkuu wa  Chama Cha Mapinduzi Dkt. Bashiru Ally akiongea na Wajumbe wa Kamati kuu ya Halmashauri Kuu ya  Chama hicho  (NEC) kabla ya kuanza kwa kikao chao kilichofanyika Ikulu ya Chamwino jijini Dodoma leo  chini ya Mwenyekiti wa CCM Taifa Rais Dkt. John Pombe Magufuli Jumatatu Aprili 15, 2019
Mwenyekiti wa  Chama Cha Mapinduzi Rais Dkt. John Pombe Magufuli na MAkamu Mwenykiti wa CCM (VIsiwani) na Rais wa Zanzibar na Baraa la Mapinduzi Dkt. Ali Mohamed Shein  wakitoka kwenye kikao cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya  chama hicho (NEC)  kilichofanyika Ikulu ya Chamwino jijini Dodoma leo 
Mwenyekiti wa  Chama Cha Mapinduzi Rais Dkt. John Pombe Magufuli na MAkamu Mwenykiti wa CCM (VIsiwani) na Rais wa Zanzibar na Baraa la Mapinduzi Dkt. Ali Mohamed Shein  wakitoka kwenye kikao cha
Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya  chama hicho (NEC)  kilichofanyika Ikulu ya Chamwino jijini Dodoma leo Jumatatu Aprili 15, 2019

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.