Marehemu Juma Ali Juma aliyekuwa Katibu Mkuu Wizara ya Biashara na Viwanda Zanzibar, aliyefarika jana katika Hospitali ya Muhimbili Jijini Dar es Salaam alipokuwa akipata matibabu katika Hospitali hiyo baada ya kupata ajali wiki hii Zanzibar.
CAMARTEC YABUNI TEKNOLOJIA MPYA KUINUA SEKTA YA KILIMO NA UFUGAJI
-
Kituo cha Zana za Kilimo na Teknolojia Vijijini (CAMARTEC) kimeanzisha
mbinu mpya za mafunzo kwa wakulima kuhusu usindikaji wa mazao, ikiwemo
mwani korosho...
6 hours ago
0 Comments