Waziri wa Fedha na Mipango Zanzibar.Mhe. Balozi Mohammed Ramia Abduwawa akisaini Hati ya Makubaliano na Mashirikiano na Balozi Mdogo wa Jamuhuri ya Watu wa China Anayefanyia Kazi zake Zanzibar Mhe. Xie Xian Wu, hafla hiyo imefanyika katika Ofisi ya Wizara ya Fedha na Mipango Vuga Zanzibar.
WAZIRI wa Fedha nac Mipango Zanzibar, Mhe. Balozi Mohammed Ramia Abduwawa (kushoto) wakibadilishana hati za ushirikiano na Balozi Mdogo wa China hapa Zanzibar, Mr. Xie Xian Wu, hafla iliofanyika ofisi za Wizara ya Fedha Vuga Mjini Zanzibar
(Picha na Abdalla Omar ).
No comments:
Post a Comment