Habari za Punde

Matukio ya Picha Kisiwani Pemba

MKURUGENZI utawala wa wakala wa uchapaji Zanzibar Mohamed Mzee Ali, akizungumza katika mkutano wa wadau wa kujadilia kanunu za sheria ya Wakala wa serikali wa Uchapaji Zanzibar, huko katika ukumbi wa nyaraka Pemba.
AFISA Mdhamini Wizara ya Habari Utalii na Mambo ya Kale Pemba, Khatib Juma Mjaja akifungua mkutano wa wadau wa kujadilia kanuni za Sheria ya Wakala wa serikali wa Uchapaji Zanzibar, huko katika ukumbi wa nyaraka Pemba
BAADHI ya wadau wa kujadilia kanuni za Sheria ya Wakala wa Serikali wa Uchapaji Zanzibar, wakifuatilia kwa makini ufunguzi wa mkutano huo huko katika ukumbia jengo la nyaraka Kisiwani Pemba.
(PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA)

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.