Habari za Punde

Muonekano wa Muembe Mpya katika Eneo la Muembenjugu Zanzibar

Muonekano wa Mti wa Muembe katika eneo la makutano ya barabara ya kidongochekungu na kijangwani katika eneo maarufu uliokuweko Muembe Njungu na kupandwa muembe mwengine na tayari ukiwa umenawiri na kuaza kuzaa kwa kutoa maua.  

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.