Habari za Punde

RAIS MHE. DKT. MAGUFULI AWEKA JIWE LA MSINGI UJENZI WA MRADI WA KUFUA UMEME WA MAJI KATIKA MTO RUFIJI UTAKAOZALISHA UMEME MEGAWATI 2115 KATIKA ENEO LA MRADI KATIKATI YA PWANI NA MOROGORO

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, Waziri wa Nishati wa Misri Dkt. Mohamed Shaker wakivuta utepe kuashiria uwekaji wa Jiwe la Msingi mradi wa Ujenzi wa Kuzalisha umeme Mega wati 2115 katika eneo la mto Rufiji katikati ya Morogoro na Pwani.
 RaiswaJamhuriyaMuunganowa Tanzania MheshimiwaDkt. John PombeMagufuliakimpongezaWaziriwaNishatiwaMisriDkt. Mohamed ShakermarabaadayakuwekaJiwe la MsingimradiwaUjenziwaKuzalishaumeme Megawati 2115 katikaeneo la mtoRufijikatikatiyaMorogoronaPwani.
RaiswaJamhuriyaMuunganowa Tanzania MheshimiwaDkt. John PombeMagufuliakifurahiapamojanaviongoziwenginemarabaadayatukiohilo la uwekajiwaJiwe la Msingi.
 RaiswaJamhuriyaMuunganowa Tanzania MheshimiwaDkt. John PombeMagufuliakiangaliamichoroyaujenzihuomkubwawakufuaumeme.

 RaiswaJamhuriyaMuunganowa Tanzania MheshimiwaDkt. John PombeMagufuliakiangaliamichoroyaujenzihuomkubwawakufuaumeme.No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.