Habari za Punde

Timu ya Judo yakabidhi vikombe na nishani kwa Waziri Vijana Utamaduni Sanaa na Michezo

 Waziri wa Vijana Utamaduni Sanaa na Michezo Balozi Ali Karume akizungumza na wachezaji wa timu ya Judo ya Zanzibar katika Ukumbi wa Wizara yake Migombani, (kulia) Naibu Katibu Mkuu Wizara hiyo Amour Hamil Bakar na Katibu Mtendaji Baraza la Taifa la Michezo Khamis Ali Mzee wakati wa kukabidhiwa kombe la ubingwa wa mashindano ya judo ya Afrika Mashariki yaliyoafanyika Kibaha Tanzania Bara
  Waziri wa Vijana Utamaduni Sanaa na Michezo Balozi Ali Karume akionyesha kombe la ubingwa wa mashindano ya Judo ya Afrika Mashariki yaliyofanyika Kibaha Tanzania Bara, (kushoto) Makamo wa Rais wa Chama cha Judo Zanzibar Mohd Khamis Juma na Nahodha wa timu Mbarouk Suleiman.


Picha ya pamoja ya Waziri wa Vijana Utamaduni Sanaa na Michezo Balozi Ali Karume na wachezaji wa timu ya judo ya Zanzibar iliyoshiriki mashindano ya 12 ya Afrika Mashariki Kibaha Tanzania Bara.

Picha na Khadija Khamis Maelezo Zanzibar.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.