Habari za Punde

Waziri Aboud afanya ziara kutembelea Vikundi vya Kaya maskini Chimba Wilaya ya Micheweni

 Waziri wa nchi Ofisi ya Makamo wa pili wa Rais Zanzibar, Moh'd Aboud Moh'd, akizungumza na Viongozi wa Serikali huko katika mashamba ya Vikundi vya Kaya maskini Chimba Wilaya ya Micheweni wakati wa ziara yake ya kuangalia maendeleo ya wanavikundi hao.

PICHA NA HANIFA SALIM-PEMBA.
 Mkuu wa Mkoa  wa Kaskazini Pemba, Omar Khamis Othman, akimpatia maelezo Waziri wa nchi Ofisi ya Makamo wa pili wa Rais, Moh'd Aboud Moh'd, juu wa Wanakaya maskini huko katika mashamba yao Chimba Wilaya ya Micheweni Pemba.

Waziri wa nchi Ofisi ya Makamo wapili wa Rais , Moh'd Aboud Moh'd, akiangalia kilimo cha mpunga kinacholimwa na Wanakaya Maskini wanaofadhiliwa na Tasaf huko Chimba Pemba.

PICHA NA HANIFA SALIM-PEMBA.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.