Habari za Punde

Waziri wa Afya Zanzibar Mhe. Hamad Rashid Azindua Chanjo ya Homa ya Ini Kwa Wafanyakazi wa Afya Mnazi Mmoja Zanzibar.

Waziri wa Afya Hamad Rashid akimkabidhi Muuguzi Zaina Udi Mwinyi Boksi la sindano za Chanjo ya Homa ya Ini ikiwa ni ishara ya Uzinduzi wa Chanjo hio kwa Wafanyakazi wa Afya Mnazi mmoja Hospita Zanzibar.
Mkurugenzi huduma za uuguzi na Mratibu wa Chanjo ya homa ya Ini Haji Nyonje Pandu akipatiwa Chanjo ya Homa ya Ini na muuguzi Zaina Udi Mwinyi baada ya kuzinduliwa Chanjo hio na Waziri wa Afya Hamad Rashid Mohamed kwa Wafanyakazi wa Afya Mnazimmoja Hospitali Zanzibar.
Waziri wa Afya Hamad Rashid akitoa Hotuba ya Uzinduzi wa Chanjo ya Homa ya Ini kwa Wafanyakazi wa Hospitali Mnazi mmoja katika Ukumbi wa Hospitali hio mjini Zanzibar.
Kaimu Mkurugenzi mtendaji Hospitali ya Mnazi mmoja Dk,Msafiri Marijan akizungumza katika hafla ya uzinduzi wa Chanjo ya Homa ya Ini kwa Wafanyakazi wa Hospitali ya Mnazi mmoja iliozinduliwa na Waziri wa Afya Hamad Rashid Mohamed Mnazi mmoja Hospitali Zanzibar.
Mkurugenzi Kinga na Elimu ya Afya Zanzibar Dk,Fadhil Mohamed Abdalla akitoa hotuba ya makaribisho kwa Mgeni rasmi katika hafla ya uzinduzi wa Chanjo ya Homa ya Ini kwa Wafanyakazi wa Hospitali ya Mnazi mmoja iliozinduliwa na Waziri wa Afya Hamad Rashid Mohamed Mnazi mmoja Hospitali Zanzibar.
Baadhi ya Wafanyakazi wa Hospitali ya Mnazi mmoja waliohudhuria katika hafla ya Uzinduzi wa Chanjo ya Homa ya Ini kwa Wafanyakazi wa Hospitali ya Mnazi mmoja iliozinduliwa na Waziri wa Afya Hamad Rashid Mohamed Mnazi mmoja Hospitali Zanzibar.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.