Habari za Punde

Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Anayeshughulikia Masuala ya Uwekezaji Mhe. Kariuki Akutana na Uongozi wa KNAUF Kuendeleza Ushirikiano na Jamii Inayowazunguka

Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Uwekezaji) Mhe. Angellah Kairuki (Mb) akisalimiana na wafanyakazi wa kiwanda cha kutengeneza Jasi (Gypsum Board) cha KNAUF kilichopo Wilaya ya Mkuranga Mkoani Pwani kwa lengo la kukagua mazingira ya wawekezaji wa kiwanda hicho kwa nia ya kuendelea kuboresha mazingira yao ziara ilifanyika Juni 28, 2019.
Meneja Fedha wa kiwanda cha KNAUF akiwasilisha hotuba kuhusu kiwanda hicho wakati wa ziara ya Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Uwekezaji) Mhe. Angellah Kairuki kiwandani hapo.
(PICHA ZOTE NA OFISI YA WAZIRI MKUU)

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.