NAIBU
Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya Watu wa Zanzibar (PBZ), Bi.Khadija Shamte
(watatu kushoto) akimkabidhi Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya, Bi.Halima
Maulid Salum msaada wa mashine ya kuangalia vichochozi vya mwili (hormone) kwa watoto,
makabidhiano hayo yalifanyika katika Hospitali Kuu ya Mnazi mmoja mjini Unguja.
NSIMBO WACHANGAMKIA MAJIKO YA RUZUKU
-
-Washukuru kufikishiwa majiko banifu kwa bei ya ruzuku
Wananchi wa Kijiji cha Mtakuja Kata ya Kapalala katika Halmashauri ya
Wilaya ya Nsimbo Mkoani Katavi...
4 hours ago
0 Comments