Wachezaji wa Timu ya Malindi Wanaoshiki Kombe la Washindi wakipasha misuli kabla ya kucheza mchezo wao wa Awali wa Kombe wa Shirikisho Dhidi ya Timu ya MCC kutoka Nchini Somali unaofanyika jioni hii katika Uwanja wa Amaan Zanzibar.
JAB YAKEMEA UVUNJAJI WA SHERIA ZA AJIRA KATIKA SEKTA YA HABARI
-
*Na Mwandishi Wetu.*
*Bodi ya Ithibati ya Waandishi wa Habari (JAB) imewasisitiza waajiri kwenye
vyombo vya habari nchini kuzingatia kikamilifu masharti ya...
7 hours ago
0 Comments