Habari za Punde

Mbunge na Mwakilishi wa Jimbo la Kikwajuni Wageukia Elimu Katika Jimbo Lao.

Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Serikali ya Mapinduzi Zanzibar, Riziki Pembe Juma, akizungumza wakati wa Kikao cha Wadau wa Elimu kilichoitishwa na Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi ambae pia ni Mbunge wa Jimbo la  Kikwajuni, Mhandisi Hamad Masauni (kushoto), kujadili jinsi ya kutatua tatizo la kufeli mitihani kwa shule zilizopo katika Jimbo hilo.Kikao hicho kimefanyika katika Ukumbi wa Shule ya Sekondari,Haile Sellasie,Visiwani Zanzibar.
Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi ambae pia ni Mbunge wa Jimbo la  Kikwajuni,akizungumza katika Kikao cha Wadau wa Elimu lengo ikiwa kujadili jinsi ya kutatua tatizo la kufeli mitihani kwa shule zilizopo katika jimbo hilo,kulia ni Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Serikali ya Mapinduzi Zanzibar, Riziki Pembe Juma.Kikao hicho kimefanyika katika Ukumbi wa Shule ya Sekondari,Haile Sellasie,Visiwani Zanzibar.
Mwakilishi wa Jimbo la  Kikwajuni, Nassor Saleh Jazeera, akizungumza katika Kikao cha Wadau wa Elimu lengo ikiwa kujadili jinsi ya kutatua tatizo la kufeli mitihani kwa shule zilizopo katika jimbo hilo.Kikao hicho kimefanyika katika Ukumbi wa Shule ya Sekondari,Haile Sellasie,Visiwani Zanzibar.
Mwalimu Mstaafu, Ameir Njeketu, akizungumza  wakati wa Kikao cha Wadau wa Elimu kilichoitishwa na Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi ambae pia ni Mbunge wa Jimbo la  Kikwajuni, Mhandisi Hamad Masauni (hayupo pichani), kujadili jinsi ya kutatua tatizo la kufeli mitihani kwa shule zilizopo katika Jimbo hilo.Kikao hicho kimefanyika katika Ukumbi wa Shule ya Sekondari,Haile Sellasie,Visiwani Zanzibar.
Mwalimu wa Shule ya Sekondari ya Haille Selasie  Ameir, Almas Mohammed, akizungumza  wakati wa Kikao cha Wadau wa Elimu kilichoitishwa na Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi ambae pia ni Mbunge wa Jimbo la  Kikwajuni, Mhandisi Hamad Masauni (hayupo pichani), kujadili jinsi ya kutatua tatizo la kufeli mitihani kwa shule zilizopo katika Jimbo hilo.Kikao hicho kimefanyika katika Ukumbi wa Shule ya Sekondari,Haile Sellasie,Visiwani Zanzibar.
Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.