Habari za Punde

Rais wa Jamuhuri

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika picha na mgeni wake Rais wa Jamhuri ya Afrika Kusini Cyril Ramaphosa kabla ya kuanza mazungumzo yao Ikulu jijini Dar es Salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akipongezana na mgeni wake Rais wa Jamhuri ya Afrika Kusini Cyril Ramaphosa mara baada ya kubadilishana zawadi Ikulu jijini Dar es Salaam.
RaiswaJamhuriyaMuunganowa Tanzania MheshimiwaDkt. John PombeMagufuliakiwakatikapichayapamojanamgeni wake RaiswaJamhuriyaAfrikaKusini Cyril RamaphosamarabaadayamazungumzoyaoIkulujijini Dar es Salaam.
 RaiswaJamhuriyaMuunganowa Tanzania MheshimiwaDkt. John PombeMagufuliakiongozaujumbewa Tanzania katikamazungumzoyapamojanaRaiswaJamhuriyaAfrikaKusini Cyril Ramaphosapamojanaujumbe wake Ikulujijini Dar es Salaam.No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.