Habari za Punde

TIGO YASHIRIKI KWA KISHINDO MAONYESHO YA NANE NANE MKOANI ARUSHA

Wananchi wanaotembelea maonyenesho ya Kilimo na Mifugo ya Nane nane, kwenye viwanja vya Taso Njiro jijini Arusha, wakipata huduma za usajili wa kadi za simu za mtandao wa Tigo kwa kutumia alama za vidole na kununua simu janja katika banda lake la maonyesho lililopo kwenye maonyesho hayo.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.