NAIBU Spika Baraza la Wawakilishi, Mgeni Hassan Juma, akiwa katika mkutano wa 50 wa Chama cha Mabunge Jumuiya ya Madola kanda ya Afrika (CPA), Hoteli ya Madinat Al Bahr Mbweni (PICHA NA ABDALLA OMAR).
Mwenyekiti wa Chama cha Mabunge Jumuiya ya Madola kanda ya Afrika, ambae pia ni Spika wa Bunge la Kenya, Jastin Mutur, (katikati) akiongoza mkutano mkuu wa mwaka wa (CPA) kanda ya Afrika hoteli ya Madinat Al Bahr (kulia ni Spika wa Bunge Tanzania, Job Agostino Ndugai na Katibu wa CPA Stephen Kagaigai (PICHA NA ABDALLA OMAR).
MBUNGE wa Malawi, Nancy Tembo, akichangia mada katika mkutano mkuu wa mwaka wa Chama cha Mabunge Jumuiya ya Madola kanda ya Afrika (CPA) Hoteli ya Madinat Al Bahr Mbweni (PICHA NA ABDALLA OMAR).
WAJUMBE wa mkutano mkuu wa mwaka wa Chama cha Mabunge Jumuiya ya Madola kanda ya Afrika (CPA) wakifuatilia mkutano huo katika Hoteli ya Madinat Al Bahr Mbweni (PICHA NA ABDALLA OMAR).
No comments:
Post a Comment