Habari za Punde

Mkutano wa Uimarishaji wa Takwimu Zanzibar

NAIBU Katibu Mkuu Wizara ya Fedha na Mipango, Iddi Haji, akifungua mkutano wa uimarishaji wa takwimu rasmi, unaowashirikisha Mashirika ya Kimataifa, taasisi za Serekali na vyuo vikuu vya Zanzibar, hafla iliofanyika ukumbi wa Mtakwimu Mkuu Mazizini
 MTAKWIMU Mkuu wa Serekali, Mayassa Mahfudh Mwinyi, akisoma taarifa katika mkutano wa uimarishaji wa takwimu rasmi, unaowashirikisha Mashirika ya Kimataifa, taasisi za Serekali na vyuo vikuu vya Zanzibar, hafla iliofanyika ukumbi wa jengo la Takuwimu Mazizini
Wajumbe wakifuatilia mada iliokua ikiwasiliswa katika mkutano wa uimarishaji wa takwimu rasmi, unaowashirikisha Mashirika ya Kimataifa, taasisi za Serekali na vyuo vikuu vya Zanzibar, hafla iliofanyika ukumbi wa Mtakuimu Mkuu Mazizini
MWAKILISHI wa Shirika la Umoja wa Mataifa linaloshuhulikia Takwimu, Mr. Gabriel Gamez, akiwakilisha mada wakati wa mkutano wa uimarishaji wa takwimu rasmi, unaowashirikisha Mashirika ya Kimataifa, taasisi za Serekali na vyuo vikuu vya Zanzibar, hafla iliofanyika ukumbi wa Mtakuimu Mkuu Mazizini.
 (Picha na Abdalla Omar.).  

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.