Habari za Punde

Vikundi Vya Vijana Kisiwani Pemba Wakabidhiwa Vitendea Kazi.

 
AFISA Mdhamini Wizara ya Vijana Utamaduni Sanaa na Michezo Pemba Fatma Hamad Rajab, akimkabidhi tanga la kuhifadhia maji na mipira ya Maji, katibu wa Kikundi cha Riziki haina Mja cha Baraza la Vijana shehia ya Mjini Ole Omar Hamad Aminia
AFISA Mdhamini Wizara ya Vijana Utamaduni Sanaa na Michezo Pemba Fatma Hamad Rajab, akikmabidhi msaada wa vitambaa kiongozi wa kikundi cha Vijana cha baraza la Vijana Shehia ya Mwambe, ili kikundi hicho kujiendeleza na ushoni kwa wanafunzi wadogo .(Picha na Abdi Suleiman - Pemba)

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.