Habari za Punde

Wananchi Kisiwani Pemba Wajitokeza Kusaini Laini za Simu Kampuni ya Zantel Kwa Njia ya Kidole.

Kampuni ya Simu ya Zatel ikiendelea na Zoezi la kusajili  laini za simu kwa Wateja wao  kwa njia za alama ya kidole, kama alivyokutwa Mwananchi huo akiwa katika zoezi hilo kwa wakala wa Zantel katika mitaa ya chakechake Pemba akijisajili.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.