Habari za Punde

Benki ya Watu wa Zanzibar PBZ Tawi la Pemba Watowa Elimu ya Waqfu wa Sarafu Kwa Mashehe na Wafanyabiashara Kisiwani Pemba.

MKUU wa Wilaya ya Mkoani Issa Juma Ali, akizungumza kwa niaba ya mkuu wa Mkoa wa Kusini Pemba Hemed Suleiman Abdalla, wakati a mafunzo ya siku moja, kwa mashekhe na wafanya biashara juu ya WAQFU wa Sarafu, iliyoandaliwa na PBZ na kufanyika mjini Chake Chake
NAIBU Mufti wa Zanzibar Shekhe Mahmoud Mussa Wadi, akifungua mafunzo ya siku moja kwa mashekhe na wafanya biashara wa Pemba, juu ya WAQFU wa Sarafu iliyotolewa na Bank ya watu wa Zanzibar na kufanyika mjini Chake Chake.
BAADHI ya Mashekhe   na wafanya biashara Kisiwani Pemba, wakifuatilia kwa makini mafunzo ya uhanmasihaji jamii, juu ya WAQF wa Sarafu (CASH WAQFU), yaliyotolewa na Benk ya Watu wa Zanzibar na kufanyika mjini Chake Chake.
Sheikh Abdalla Tawalib akiwasilisha mada ya Uchumi wa Kiislamu, wakati wamafunzo ya siku moja kwa mashekhe na wafanyabiashara Pemba, juu ya WAQFU wa Sarafu yaliyoandaliwa na PBZ na kufanyika mjini Chake Chake. (PICHA NA HANIFA SALIM, PEMBA).

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.