Habari za Punde

Michuano ya Kombe la Karume Cup Ikirindima Uwanja wa Mao Zedong Kati ya Africa Magic na KVZ.Timu ya Africa Magic Imeshinda Mchezo Huo Kwa Vikapu.56 -49.

Mchezaji wa Timu ya KVZ akiwa na mpira huku mchezaji wa Timu ya Africa Magic akijaribu kumzuiya wakati wa mchezo wa Kombe la Karume Cup uliofanyika Uwanja wa Mao Zedong Zanzibar.Timu ya Africa Magic imetoka kifuambele kwa ushindi wa Vikapu 56-49.
Michezo hiyo inaendelea katika uwanja wa kwa Timu za Wanawake na Wanaume za Mpira wa Kikapu Zanzibar.









No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.