Habari za Punde

Waziri wa Fedha akuta na wahasibu na wasimamizi wa fedha wa Taasisi za serikali kisiwani Pemba



KAIMU afisa Mdhamini Wizara ya Fedha na Mipango Pemba Firdausi Khatib Haji, akizungumza katika kikao cha wahasibu na wasimamizi wa fedha kutoka Taasisi mbali mbali za serikali Pemba, huko katika ukumbi wa wizara ya fedha Gombani.(PICHA NA:ABDI SULEIMAN, PEMBA)



BAADHI ya wahasibu na wasimamizi wa Fedha kutoka taasisi mbali mbali za serikali  Pemba, wakifuatilia kwa makini mkutano wa waziri wa fedha Zanzibar juu ya suala zima la ukusanyaji wa mapato na usimamizi wa matumizi kwa taasisi zao .(PICHA NA:ABDI SULEIMAN, PEMBA) 


WAZIRI wa Fedha na Mipango Zanzibar Balozi Mohamed Ramia Abduwawa, akizungumza na wahasibu na wasimamizi wa fedha kutoka Taasisi mbali mbali za serikali Pemba, huko katika ukumbi wa wizara ya fedha Gombani.(PICHA NA:ABDI SULEIMAN, PEMBA)

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.