Mchezaji wa Timu ya Tamisemi akijiandaa kufunga wakati wa mchezo wao wa Ligi Kuu ya Muungano uliofanyika kati Uwanja wa Gymkhana dhidi ya Timu ya Mafunzo.Timu ya Tamisemi imeshinda mchezo huo kwa bao.49-45.
TANZANIA YANG’ARA KIMATAIFA KWA USIMAMIZI BORA WA DENI LA SERIKALI
-
Na Joseph Mahumi, WF
Serikali ya Tanzania imeendelea kung’ara katika jukwaa la kimataifa baada
ya kuibuka mshindi wa jumla wa mwaka katika Tuzo za Usima...
17 minutes ago
0 Comments