Habari za Punde

Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt. John Magufuli Azungumza na Mtendaji Mkuu wa Benki ya Maendeleo ya Nchi za Mashariki na Kusini Mwa Afrika.o ya Taifa Makao Makuu ya Ulinzi

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akipeana mikono kwa furaha na Mtendaji Mkuu wa Benki ya Biashara na Maendeleo ya Nchi za Mashariki na Kusini mwa Africa wakati wa mazungumzo yao Ikulu Chamwino jijini Dodoma 
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimpa zawadi ya kinyago   Mkuu wa Benki ya Biashara na Maendeleo ya Nchi za Mashariki na Kusini mwa Afrika  alipokutana naye kwa mazungumzo Ikulu Chamwino jijini Dodoma
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika mazungumzo na   Mkuu wa Benki ya Biashara na Maendeleo ya Nchi za Mashariki na Kusini mwa Afrika na ujumbe wake alipokutana naye
Ikulu Chamwino jijini Dodoma leo.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika picha na pamoja na Mkuu wa Benki ya Biashara na Maendeleo ya Nchi za Mashariki na Kusini mwa Afrika na ujumbe wake na Waziri wa Fedha na Mipango Dkt. Philip Mpango, Katibu Mkuu wa wizara hiyo Doto James na maafisa waandamizi wa wizara  alipokutana naye Ikulu Chamwino jijini Dodoma
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiagana na Mkuu wa Benki ya Biashara na Maendeleo ya Nchi za Mashariki na Kusini mwa Afrika   baada ya kukutana na kufanya naye mazungumzo Ikulu Chamwino jijini Dodoma leo Novemba 25, 2019. Kushoto ni Waziri wa Fedha na Mipango Dkt. Philip Mpango

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.