Habari za Punde

Uzinduzi wa Gazeti Jipya la Lugha ya Kiingereza la Zanzibar Mail Newspaper

Waziri wa Habari Utalii na Mambo ya Kale Zanzibar Mhe.Mahmoud Thabit Kombo akilizindua Gazeti Jipya la Lugha ya Kiingereza Zanzibar Mail Newspaper la Shirika la Magazeti la Zanzibar leo, hafla hiyo imefanyika katika ukumbi wa Sheikh Idrisa Abdulwakil Kikwajuni Zanzibar, mwenye gauni jekundu Mwenyekiti wa Bodi ya Shirika la Magazeti la Zanzibar leo. Bi. Ummy Aley. ,
Waziri wa Habari Utalii na Mambo ya Kale Zanzibar.Mhe.Mahmoud Thabit Kombo akisoma mfano wa Gazeti la Zanzibar Mail Newspaper baada ya kulizindua leo katika ukumbi wa Sheikh Idrisa Abdulwakil Kikwajuni kulia Mhariri Mtendaji wa Shirika la Magazeti Zanzibar leo. Ndg Yussuf Khamis, Mwenyekiti wa Bodi ya Shirika la Magazeti ya Zanzibar leo.Bi.Ummy Aley na Katibu Mkuu Wizara ya Habari Utalii na Mambo ya Kale Zanzibar.Bi.Khadija Bakari wakipiga makofi wakati wa uzinduzi huo leo.
No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.