Habari za Punde

WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA, AFUNGUA MAONESHO YA WIKI YA ASASI ZISIZO ZA KISERIKALI 2019

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akikata utepe, wakati akifungua Maonesho ya Wiki ya Asasi Zisizo za Kiserikali 2019, katika uwanja wa Jamhuri, jijini Dodoma.
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akisalimiana na Balozi wa Canada nchini Tanzania Bi.Pamela O’Donnell, wakati akiwasili katika uwanja wa Jamhuri, jijini Dodoma, kufungua Maonesho ya Wiki ya Asasi Zisizo za Kiserikali . 
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akiangalia kitabu, wakati akitembelea mabanda, kabla ya kufungua Maonesho ya Wiki ya Asasi Zisizo za Kiserikali 2019, yaliyofanyika katika uwanja wa Jamhuri, jijini Dodoma, Novemba 4.2019. Kutoka kushoto ni Msajili wa Mashirika Yasiyo ya Kiserikali, Vickness Mayao, Mkurugenzi Mtendaji wa Wajibu Ludovick Utouh, Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto, Ummy Mwalimu.
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akiangalia bidhaa, iliyotengenezwa na Mjasiriamali ambaye ni mlemavu wa macho, Angela Sebastian, wakati akitembelea mabanda, kabla ya kufungua Maonesho ya Wiki ya Asasi Zisizo za Kiserikali 2019, yaliyofanyika katika uwanja wa Jamhuri, jijini Dodoma,
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akisalimiana na Mjasiriamali ambaye ni mlemavu wa macho, Angela Sebastian, wakati akitembelea mabanda, kabla ya kufungua Maonesho ya Wiki ya Asasi Zisizo za Kiserikali 2019, yaliyofanyika katika uwanja wa Jamhuri, jijini Dodoma
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akisalimiana na Mkurugenzi wa Policy Forum, Semkae Kilonzo, kwenye ufunguzi wa Maonesho ya Wiki ya Asasi Zisizo za Kiserikali 2019, yaliyofanyika katika uwanja wa Jamhuri, jijini Dodoma 


Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto, Ummy Mwalimu, akizungumza kwenye ufunguzi wa Maonesho ya Wiki ya Asasi Zisizo za Kiserikali 2019, yaliyofanyika katika uwanja wa Jamhuri, jijini Dodoma,
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akiwahutubia wananchi, kwenye ufunguzi wa Maonesho ya Wiki ya Asasi Zisizo za Kiserikali 2019, yaliyofanyika katika uwanja wa Jamhuri, jijini Dodoma, Novemba 4.2019. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.