Habari za Punde

Tetesi za soka Ulaya : Pogba, Van de Beek, Dembele, Cavani, Zaha

Kiungo wa Kati wa Timu ya Man United Paul Pogba yuko tayari kuondoka katika klabu hiyo katika dirisha la uhamisho la mwezi januari 2020.
Kiungo wa kati wa Man United Paul Pogba yuko tayari kuondoka katika klabu hiyo katika dirisha la uhamisho la mwezi Januari , huku klabu ya Real Madrid ikiwa na matumaini ya kuanzisha mazungumzo ya kupunguza bei ya Man United ya £126.4m ili kumuuza mchezaji huyo wa Ufaransa huku akiingia miezi 12 ya mwisho katika kandarasi yake. (L'Equipe via AS)
Tottenham imeendeleza hamu yake ya kutaka kumnunua mchezaji wa Ajax Donny van de Beek , lakini mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 22 na raia wa Uholanzi anataka kuhamia Real Madrid, ambao wanajiandaa kutoa dau la £46.2m (De Telegraaf via FourFourTwo)
Manchester City na Chelsea wamekuwa na mazungumzo na wawakilishi wa mchezaji wa Barcelona Ousmanne Dembele mwenye umri wa miaka 22

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.