Habari za Punde

Waandishi wa Habari za Mazingira Wapata Elimu ya Nishati Jadidifu

MUWEZESHAJI kutoka Taasisi ya Sola Sister Tanzania Carolin Gilbat, akitoa ufafanuzi juu ya taasisi ya Sola Sister inavyohamasisha wanawake vijijini kutumia nishati mbadala ya umeme wa sola, wakati wamafunzi ya  nishati Jadidifu yaliyofanyika jijini Dar es Salaam, ambayo yameandaliwa na Nukta Afrika na Chama Cha waandishi wa habari za Mazingira Tanzania (JET)
MKURUGENZI Mtendaji wa Nukta Afrika Nuzulack Dausen. akiwasilisha mada kwa waandishi wa habari juu ya kuandika habari za Takwimu, wakati wamafunzo ya  nishati Jadidifu yaliyofanyika jijini Dar es Salaam, ambayo yameandaliwa na Nukta Afrika na Chama Cha waandishi wa habari za Mazingira Tanzania (JET)
WAANDISHI wa Habari kutoka mikoa mbali mbali ya Tanzania Bara na Zanzibar, wakifuatilia kwa makini mafunzo maalumu ya nishati Jadidifu yaliyofanyika jijini Dar es Salaam, ambayo yameandaliwa na Nukta Afrika na Chama Cha waandishi wa habari za Mazingira Tanzania (JET). 
(Picha na Abdi  Suleiman -Dar es Salaam)

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.