Habari za Punde

Jengo la Wizara ya Ardhi Nyumba Maji na Nishati la ZURA HOUSE Likiwa katika Hatua za Mwisho za Kumalizika Ujenzi huo.

Muonekano wa Jengo Jipya la Wizara ya Ardhi, Nyumba Maji na Nishati Zanzibar likiwa katika hatua za mwisho za ujenzi huo kama linavyoonekana pichani likiendelea na hatuza za mwisho za ujenzi huo katika maeneo ya barabara ya maisara Suleiman Jijini Zanzibar.No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.